Bado
- 'Bado ni jina la wimbo uliotoka tarehe 29 Februari, 2016 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Harmonize akiwa na Diamond Platnumz.
Bad Oldesloe
- Bad Oldesloe ni mji wa Schleswig-Holstein nchini Ujerumani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 24.145.
Bad
- Bad ni jina la kutaja albamu ya saba ya mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji, mfanyabiashara, kabaila, na mhisani wa Kimarekani, Michael Jackson.
Bao
- Bao (au Bao la Kiswahili au Bao la Zanzibar) ni mchezo wa aina ya mankala unaochezwa na wachezaji wawili.
Baden-Württemberg
- Baden-Württemberg ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 10.7 kwenye eneo la 35 752 km².
Bado斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。