Bahati
- Bahati (au sudi) inatafsiriwa kwa namna tofauti na hata kukanushwa kadiri ya utamaduni, falsafa, dini na hisia za watu.
Bahati (Mwimbaji)
- Kevin Bahati (jina halisi "Kevin Mbuvi Kioko"; alizaliwa 22 Desemba 1994) anafahamika zaidi kwa jina "Bahati" ni mwimbaji na mwanamuziki wa nyimbo za Kiinjili na kidini kutoka Kenya.
Bahati Ali Abeid
- Bahati Ali Abeid (amezaliwa tarehe 22 Mei, 1967) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania.
Bahari ya Hindi
- Bahari ya Hindi ni bahari ya tatu kwa ukubwa duniani ikiwa imechukua asilimia 20 ya uso wa dunia na kuzungukwa na mabara manne.
Bahari ya Mediteranea
- Bahari ya Mediteranea (pia: Bahari ya Kati) ni bahari ya pembeni ya Atlantiki kati ya mabara ya Afrika, Ulaya na Asia ya Magharibi.
Bahati斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。