Daudi (Biblia)
- Daudi (kwa Kiebrania דוד, Daud, kwa Kiarabu داوُد, Dāwūd) alikuwa mfalme wa pili wa Israeli ya Kale mnamo 1010 KK-970 KK.
Daudi wa Wales
- David wa Wales (kwa Kiwelisi 'Dewi Sant'; 500 hivi - 589 hivi) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Mynyw (sasa St Davids).
Daudi Kabaka
- Daudi Kabaka (1939-2001) ni mwimbaji mzaliwa wa Kenya.
Daudi (Mbulu)
- Daudi ni kata ya Wilaya ya Mbulu katika Mkoa wa Manyara, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,642 waishio humo.
Dudinka
- Dudinka (Kirusi: Дудинка) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 21.978. Iko katika mkoa wa Krasnoyarsk Krai.
Daudi斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。