Dodoma (mji)
- Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni Jiji.
Dodoma vijijini
- Dodoma Vijijini ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma wenye msimbo wa posta 41200. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Dodoma Vijijini ilihesabiwa kuwa 440,565 [1].
Dodoma Makulu
- Dodoma Makulu ni jina la kata ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye msimbo wa posta 41107. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17097
Doto Mashaka Biteko
- Doto Mashaka Biteko (amezaliwa 30 Desemba 1978) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Dodoma斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。