Huduma ya kwanza
- Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada unatolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini kwa matibabu zaidi.
Hungaria
- Hungaria (kwa Kihungaria Magyarország) ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni 10 wanaozidi kupungua.
Hussein Mkiety
- Hussein Ramadhani Mkiety (27 Oktoba 1985 - 26 Novemba, 2012) alikuwa msanii wa maigizo na mwimbaji na mchekeshaji wa filamu kutoka nchini Tanzania.
Huduma ya Kangaroo
- Huduma ya Kangaroo ni huduma inayofanyiwa watoto wachanga, ambao huzaliwa kabla ya muda wa ujauzito kukamilika, watoto huguzishwa moja kwa moja na ngozi ya mtu mzima.
Huu斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。