Jamii
- Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).
JamiiForums
- JamiiForums ni mtandao wa kijamii maarufu zaidi nchini Tanzania ulioanzishwa rasmi mwaka 2006 mwezi Machi ikiwa na waanzilishi wawili, Maxence Melo na Mike Mushi ambao walijuana kupitia mtand
Jani
- Jani ni ogani ya mimea na kazi yake ya msingi ni usanisinuru na upumuaji (badiliko la gesi). Kwa hiyo ni sehemu ya mmea iliyopo juu ya ardhi.
Jamii kunde
- Jamii kunde (makundekunde) ni jina la kujumlisha mbegu za kuliwa zinazofanana na kunde. Zote zinatokana na mimea ya jamii ya Fabacea (au Leguminosa).
Jaji斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。