Jamaika
- Jamaika ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi. Iko km 150 kusini kwa Kuba na 150 upande wa magharibi wa Haiti na ni kisiwa kikubwa cha tatu kati ya Antili Kubwa.
Jamal Kassim Ali
- Jamal Kassim Ali (amezaliwa 14 Novemba 1984) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM.
Jamataka
- Jamataka ni kijiji katika Tutume, Wilaya ya Central huko nchini Botswana. Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 650 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011.
Jumaa Hamidu Aweso
- Jumaa Hamidu Aweso (amezaliwa 22 Machi 1985) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM).
Jamaa斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。