Kamera
- Kamera ni kifaa kinachochukua picha. Ina tundu moja dogo tu kwa kupokea nuru inayoacha picha ndani yake ama kwenye filamu au kwenye kihisio elektroniki.
Kameyama wa Japani
- Kameyama (9 Julai, 1249 – 4 Oktoba, 1305) alikuwa mfalme mkuu wa 90 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tsunehito, na alikuwa mwana wa saba wa Go-Saga.
Kamena
- Kamena ni kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 21,700 waishio humo.
Kameka斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。