Kilatini
- Kilatini ni lugha ya kihistoria ambayo siku hizi haina tena wasemaji kama lugha ya kwanza, lakini bado hufundishwa katika shule na vyuo na hata kutumiwa kama lugha ya pili.
Kiladino
- Kiladino ni lugha ndogo ya jamii za Lugha za Kirumi katika jamii kubwa ya Lugha za Kihindi-Kiulaya. Inafanana na Kifriuli na Kiromansch.
Kilao
- Kilao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Laos, Vietnam na Kamboja inayozungumzwa na Walao. Mwaka wa 2005, idadi ya wasemaji wa Kilao nchini Laos imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni tatu.
Kilakala
- Kwa makala ya Kilakala ya Dar es Salaam, tazama: Kilakala (Temeke)
Kilakala (Temeke)
- Kilakala (Temeke) ni jina la kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 44,849 waishio humo.
Kila斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。