Kilele
- Kilele ni jina la lugha mbalimbali, k.m.:
Kilema Kaskazini
- Kilema Kaskazini ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,669 walioishi humo.
Kilendu
- Kilendu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walendu. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kilendu nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 750,000. Pia
Kilema Kusini
- Kilema Kusini ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22,711 walioishi humo.
Kileti
- Kileti ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waleti. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kileti iko katika kundi la A60.
Kile斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。