Mahari
- Mahari (inayojulikana kama trousseau au tocher au, katika Kilatini, dos) ni pesa, mali, au mali isiyohamishika ambayo mwanamke huleta mumewe katika ndoa.
Mamalia
- Mamalia ni wanyama ambao wanawanyonyesha watoto wao maziwa kwa kutumia viwele vyao.
Mahalapye
- Mahalapye ni kijiji katika Mahalapye, Wilaya ya Central huko nchini Botswana. Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 43,289 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011.
Masalia
- Masalia ni mabaki ya mwili au ya vitu vya mtu anayeheshimika hasa kwa msingi wa dini.
Mamalia wa baharini
- Mamalia wa baharini ni mamalia wa majini ambao wanaishi na kupata riziki zao baharini. Ni wanyama wa spishi mbalimbali (129) jamii ya mamalia ambazo hazihusiani kwa asili, ila zimefuata njia
Mahali斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。