Maiti
- Maiti ni mwili wa binadamu aliyekufa. Mwili wa mnyama aliyekufa huitwa mzoga.
Martin Luther
- Martin Luther (10 Novemba 1483 – 18 Februari 1546) alikuwa Mkristo mwanateolojia kutoka nchi ya Ujerumani maarufu kama mwanzilishi wa Uprotestanti.
Mauti
- Mauti (kutoka Kiarabu موت, maut) au kifo (kutoka kitenzi cha Kibantu kufa) ni mwisho wa uhai; kwa lugha ya biolojia mwisho wa michakato yote ndani ya kiumbehai ambayo ni dalili za uhai.
Maigizo
- Maigizo ni mpangilio wa maneno unaombatana na utendaji wa wahusika. Wahusika huwa wanaiga mambo ambayo yanafanywa na jamii husika na kuyaonesha mbele ya hadhira.
Martin Luther King, Jr.
- Dr Martin Luther King, Junior (Atlanta, Georgia, 15 Januari 1929 – Memphis, Tennessee, 4 Aprili 1968) alikuwa Mkristo mwenye asili ya Afrika, mchungaji wa Kibaptisti na mwanaharakati mashuhur
Maiti斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。