Makinikia
- Makinikia (kutoka neno "makini") ni jina la mchanga ambao hutokana na shughuli za uchimbaji wa madini.
Makanisa Katoliki ya Mashariki
- Makanisa Katoliki ya Mashariki ni madhehebu 23 ya Ukristo ambayo yanafuata mapokeo mbalimbali ya Mashariki katika ushirika kamili na Askofu wa Roma (Papa), hivyo pia na Kanisa Katoliki lote d
Madini
- Madini (kwa Kiarabu: معدن, ma'adan; kwa Kiingereza: mineral) ni dutu mango inayopatikana duniani kiasili.
Makanisa ya Kikelti
- Makanisa wa Kikelti (au Ukristo wa Kikelti (kwa Kiingereza Celtic Christianity) yalikuweko katika visiwa vya Britania kuanzia karne ya 3 hadi mwanzo wa Karne za kati.
Makiidi
- Makiidi ni kata ya Wilaya ya Rombo katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,720 walioishi humo.
Makini斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。