Pendo
- Pendo linaweza kutafsiriwa kwa maana mbalimbali, kama vile upendo, mapendo, mapenzi n.k.
Punda milia
- Punda milia au pundamilia ni wanyama wa familia Equidae wa Afrika wanaofahamika sana kwa rangi yao ya pekee ya michirizi myeupe na myeusi.
Penalti
- Penalti (kutoka Kiingereza penalty) ni istilahi ya lugha ya michezo, hasa mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa pete n.k.
Punda
- Punda ni wanyama wakubwa kiasi wa nusujenasi Asinus ya jenasi Equus katika familia Equidae wafananao na farasi mdogo.
Penza
- Penza (Kirusi: Пенза) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 518.025. Iko katika mkoa wa Penza Oblast.
Penda斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。