Rais
- Rais (kutoka Kiarabu: رئیس) ni cheo cha mkuu wa nchi katika serikali ya jamhuri, na pengine mkuu wa taasisi fulani ("mwenyekiti").
Rais wa Marekani
- Rais wa Marekani ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali ya Marekani na ni rasmi juu ya siasa katika Umoja wa Mataifa kwa kuathiriwa na kutambuliwa.
Rais wa Afrika Kusini
- Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali chini ya katiba ya Afrika Kusini.
Rais wa Ujerumani
- Rais wa Ujerumani ni mkuu wa dola katika Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.
Rais wa Nigeria
- Rais wa Nigeria ni mkuu wa dola wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria na kiongozi wa serikali. Vyeo vyake ni "Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria" na Amiri Jeshi Mkuu wa jeshi la Nigeria.
Rais斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。