Ramani
- Ramani ni picha - kwa kawaida mchoro - ya dunia au sehemu au sifa zake.
Ramani ya nyota
- Ramani ya nyota ni ramani inayoonyesha nyota zinazoonekana kwenye anga wakati wa usiku. Mkusanyiko wa ramani za nyota katika kitabu kimoja huitwa atlasi ya nyota.
Ramani斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。