Ziara
- Ziara (kwa Kiingereza: trip au travel) ni nomino inayoashiria kutembea au kuzuru mahala fulani. Inawezekana ukafanya ziara pahala ambapo ni ng'ambo na nchi yako au hata ndani ya nchi yako.
Ziara ya Face to Face
- Ziara ya Face to Face ni tamasha la 5 la kundi la Westlife. Katika ziara hii, wanamuziki hawa waliweka malengo ya kufanya matamasha katika katika viwanja vidogo vidogo zaidi ili kuweka maana
Zadar
- Zadar (kwa Kiitalia: "Zara") ni mji nchini Kroatia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 76,718.
Zilda Arns
- Zilda Arns Neumann (25 Agosti 1934 - 12 Januari 2010) alikuwa daktari wa watoto na mfanyakazi wa misaada kutoka nchi ya Brazil.
Ziada斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。