Bureza
- Bureza ni jina la kata ya Wilaya ya Muleba katika Mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35517 .
Burundi
- Jamhuri ya Burundi (iliyojulikana zamani kama Urundi) ni nchi ndogo ambayo iko katika eneo la Maziwa Makubwa ya Afrika.
Burkina Faso
- Burkina Faso ni nchi ya Afrika ya Magharibi isiyo na pwani kwenye bahari yoyote.
Burning Spear
- Winston Rodney (anajulikana kama Burning Spear; amezaliwa 1 Machi 1948 ) ni mwimbaji na mwanamuziki mwenye mizizi ya Reggae kutoka nchini Jamaika, aliyeshinda tuzo ya Grammy.
Buruji za falaki
- Buruji za falaki (pia: alama za nyota; kwa Kiingereza: zodiac constellations) ni jina la makundinyota yanayoonekana kwenye ekliptiki zaani njia ya Jua angani (ing.
Bure斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。