Katiba
- Katiba ni sheria au kanuni zinazoaInisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao.
Katiba ya Kenya
- Katiba ya Kenya ndiyo sheria kuu kabisa ya Jamhuri ya Kenya. Katiba ya mwaka 2010 ilichukua nafasi ya katiba ya wakati wa uhuru ya mwaka 1963.
Katima Mulilo
- Katima Mulilo ni mji mkuu wa Mkoa wa Caprivi nchini Namibia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 27,860.
Kitikar
- Kitikar ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Watikar. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kitikar imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani
Kadi karadha
- Kadi karadha (au Kadi ya mkopo (kwa Kiingereza: credit card) ni kadi ya kulipia iliyotolewa kwa watumiaji (wamiliki wa kadi) ili kuwawezesha kulipa mfanyabiashara kwa bidhaa na huduma.
Katika斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。