Kunguni
- Kunguni ni wadudu wadogo wa familia Cimicidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota (wenye mabawa).
Kundinyota
- Kundinyota (kwa Kiingereza: star constellation) ni idadi ya nyota zinazoonekana angani kuwa kama kundi moja.
Kunguru
- Kunguru ni ndege wakubwa kiasi wa familia Corvidae. Spishi nyingine huitwa vinubi. Wanatokea mabara yote isipokuwa Antakitiki.
Kupatwa na moshi wa sigara za wengine
- Kupatwa na moshi wa sigara za wengine (kwa Kiingereza: Second hand smoke) ni hali ya kuvuta hewa yenye moshi unaotokana na mtu anayevuta sigara au mazingira ya moshi wa tumbaku (ETS), kutoka
Kundi
- Kundi ni idadi ya watu au vitu vilivyopo, vimekusanyika, au vinavyowekwa pamoja. Neno hilo limekuwa likitumika mara nyingi kuonyesha mkusanyiko wa watu, wanyama, ndege wa angani au wadudu.
Kuna斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。