Maradhi ya zinaa
- Maradhi ya zinaa ni namna ya kutaja magonjwa yanayosambazwa kwa njia ya vitendo vya kijinsia, mengine ya zamani (kisonono, kaswende n.k.), na mengine mapya (ukimwi n.k.).
Marashi
- Marashi (kutoka kitenzi chenye asili ya Kiarabu "kurasha"; kwa Kiingereza "perfume") ni mchanganyiko wa mafuta na manukato yanayonukia vizuri ambayo hupulizwa au kupakwa katika mwili, nguo, v
Maranatha
- Maranatha' ni neno la Kiaramu (aidha מרנא תא; maranâ 'tha au מרן אתא; Maran 'atha') linalotokea mara moja katika Agano Jipya na pia katika Didake ambayo ni kitabu cha kale cha Mababu wa Kanis
Maracaibo
- Maracaibo (tamka ma-ra-ka-i-bo) ni mji mkubwa wa pili nchini Venezuela; ni jiji lenye wakazi 2,658,355 ilhali rundiko la mji huwa na watu 5,278,448 (mwaka 2010).
Mara斯瓦希里语的发音含义,同义词,反义词,翻译,刑和更多。